Mwanaume kazi kwani mkono mtupu haulambwi.
Yote maisha, baba.
Sokoni Kariakoo
Ubungo, kituo cha daldala
Sokoni kariakoo.
Ngoja niweke vocha!
Mazishi ya shehe Yahya Hussein.
Mtaa wa Uhuru, kukata mbuga kama kawa.
Kituo cha basi Ubungo. Siku hii mvua ilinyesha balaa. Safari ya kibindu ikaahirishwa.

















