Saturday, August 13, 2011

Hapa na pale Mjini Dar-is-salama. We love it.

Mwanaume kazi kwani mkono mtupu haulambwi.

Yote maisha, baba.

Sokoni Kariakoo

Ubungo, kituo cha daldala

Sokoni kariakoo.

Ngoja niweke vocha!

Mazishi ya shehe Yahya Hussein.

Mtaa wa Uhuru, kukata mbuga kama kawa.

Kituo cha basi Ubungo. Siku hii mvua ilinyesha balaa. Safari ya kibindu ikaahirishwa.




No comments:

Post a Comment